Beshte yako ashawai kuchapia story ukadhani anaishi Kenya ingine? Kaa chini nikushow hii story.
Wakenya wakijitayarisha kutesa mfuko October mpaka December, mabeshte zangu Johnny na Adhis wanaishi 2050.
First of all, tayari wametenga budget ya Krisi na Njaanuary juu hawataki swara za kuoverspend holiday season.
Lakini, savings plan yao haijaishia hapo, pia watoto wamewekwa kwa savings plan.
Imagine watu wa 7 na 10 years, wenye hawajaanza kulipa rent na ushuru, wako na KCB Cub savings account!
Of course, nikamuuliza watoto wanasave doh gani, shuwally?
Savings plan yao ya watoi iko hivi:
Famo yao iko mbele kuliko mfuko ya shati.
Mimi bado niko shock, juu hao watoi wako set na good savings habits tayari. By the time wakuwe wakubwa watakuwa level ingine.
Kama unataka pia watoi wako wakuwe na vision 2050 pia, hebu check out the KCB Cub savings account!
Over and Out,
Witty Banker.
One of our comrades recently shared something...
Let's be honest, when someone mentions...
We all know those people. You open their...