Maze kurun biashara hii kanairo inaweza kufanya usimame katikati ya town, ulie. Unafikiria kudeal na customers, kumanage suppliers, kufile taxes, payroll nayo bado inakungoja – Wueeeh!!
Alafu ukichapa hesabu ya kwenda bank kuqueue, nguvu inaisha magoti.
Juzi kwanza nimepata beshte yangu Mwas akifanya mahesabu, presha imepanda anataka kufunga arudi ushago.
“Boss, wee humanage aje biz so stress-free?”
“Bro, KCB Internet Banking ndio solution yangu.”
With KCB Internet Banking unaweza sort out biashara yako bila presha za kwenda bank. Hii ni service yenye unaingia online, anytime, anywhere, unasort bills zako teketeke bila stress. Sema convenience!!
Hadi nilikua nashow Mwas vile with KCB Internet Banking, unaweza fanya vitu kadhaa kama:
Alafu pia najua kukua msee wa Biz lazima ukae rada na hizo transactions juu pia conmen ni wengi. With KCB internet banking unaweza view statements zako anytime kuconfirm kama doh imeingia ama ni fununu.
Kitu ingine ya maana zaidi ni kama unataka kustay secure online na kusafeguard transactions zako, register for KCB ibank app. Unaweza enda playstore you download the app ama tumia website. Ndio Hii Link.
Kamum, utashindanga umehema ukikimbia bank na unaweza okoa maasa na KCB Internet banking?
Punguza stress za kurun biz with KCB Internet Banking.
Changamka bazuuu. Register! Your business will thank you later.
Alafu kama unadai more details? Click Hapa
Over and Out,
Witty banker.
One of our comrades recently shared something...
Let's be honest, when someone mentions...
We all know those people. You open their...